tengeneza pesa
pamoja nasi
- Kuwa mshirika
- Leta wateja wapya kwenye Coinplay
- Pata hadi kamisheni ya 40%
Kamisheni ya maisha
25-40% kutoka kwa kila mteja
Malipo ya haraka
Kila wiki. Bila longolongo
Usaidizi katika kuvutia wateja wapya
Nyenzo mbalimbali za promosheni
vigezo vya kipekee
Kwa Washirika muhimu
1,000
Wabia kote ulimwenguni
50,000
Watumiaji wa kila siku
64
Lugha zinazohimiliwa
32
Chaguzi za malipo
Kamisheni ya maisha
Utajipatia kamisheni kwa wateja wako unaowaleta kila wakati wanapoweka madau kwenye Coinplay, bila ukomo wa muda. Tazama faida yako ikiongezeka kadri kamisheni yako inavyokua.
Malipo ya mara kwa mara na rahisi
Kamisheni inalipwa kila baada ya siku 7. Chagua kilicho rahisi kwako.
Uteuzi mkubwa wa nyenzo za promo
Madhari-nyuma za tovuti, mabango hai na tuli, misimbo binafsi ya promo. Utakuwa na ufikio wa maktaba yetu ya nyenzo za promosheni, zilizobuniwa kukidhi aina zote za njia za watembeleaji wa tovuti.
Hakikisha daima una taarifa muhimu
Taarifa zote unazohitaji na takwimu za kina kuhusu matokeo yako, zinatolewa katika wakati halisi.